Swahili voice recording for an AI company

Job ID: 32732941

Budget: $10 – $30 USD

Wazungumzaji wa Kiswahili hasa cha Tanzania au Mombasa Kenya, ni project ya kampuni ya Artificial Intelligence ambapo utapaswa kurecord sentensi za Kiswahili kinachoweza kutumika katika mazingira ya kawaida. Lengo ni kuboresha utoaji huduma na bidhaa za kampuni husika.

Ni vizuri zaidi kama utapenda kushiriki katika kazi hii unaweza kuuliza chochote. Tafadhali pia weka namna ya kuwasiliana nawe hasa katika (Removed by Freelancer.com admin)