Swahili Speaker
Budget: $10 – $30 USD
Natafuta freelancer wa kiswahili
Kazi
Nitakupa apps ambayo ndani yake ina maneno ya kiswahili,wewe kila neno utakitungia senteai fupi kuanzia sekunde ya 3 na kufikia sekunde ya 8 uwe umeshamaliza
Ndani ya apps kuna maneno 1000 ukiyamaliza yote yatakaguliwa na yakiwa vizuri kuanzia asilimia 80 kwenda mbele
Malipo ni 15000 mpaka 20000
na yasipokuwa sahihi utarudia yale uliyoyakosea
kumbuka kipindi unarekodi hautakiwi kukaa sehemu yenye kelele hata kidogo,ukae sehemu tulivu kabisa
Maelezo kwa kina njoo inbox

Related categories:
Translation
Data Entry
Virtual Assistant
Hindi Translator
English (US) Translator